Wezesha Trust Fund ina kawaida ya kufanya vikao mara kwa mara na Mwenyekiti na wakuu wa Bodi yake ili kujadiliana kuhusu maendeleo na mustakabali wa Asasi hii. Mwezi wa Saba,...
Saturday, February 4, 2017
Friday, January 20, 2017
WEZESHA TRUST FUND WALIPOFANYA ZIARA KWA WAHANGA WA MAFURIKO WILAYA YA KILOSA MEI, 2016
Wafanyakazi wa Wezesha Trust Morogoro walipotembelea Wilayani Kilosa kuwapa pole wahanga wa mafuriko Wilayani Kilosa. Mafuriko hayo yalitokea mwanzoni mwa mwaka 2016. Wezesha...
Wednesday, January 18, 2017
JE, UTAWEZAJE KUSHINDA HALI NGUMU YA MAISHA NA AJIRA

MBINU 6 ZITAKUSAIDIA SANA
Kutokana na mabadiliko ya
tabia nchi na hali ya kukua kwa uchumi mambo mengi yamebadilika sana, Hivyo
basi ni muhimu tujifunze njia za kujiimarisha...
Sunday, January 1, 2017
SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE KUWATEGEMEA WANAUME JAPOKUWA WANA FURSA NYINGI SANA
Fursa za wanawake ziko nyingi sana lakini wanawake wenyewe
hawana motisha ya kuzikimbilia na kwenye uzalishaji mali...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)