Napenda kutoa mada fupi na ya kutiana moyo wenyewe kwa wenyewe,
kwa mtazamo wa macho ya nyama maisha ni magumu sana, lakini katika mtazamo wa
kiroho maisha ni ya kawaida na hayataki...
Monday, February 29, 2016
Tuesday, February 9, 2016
CHANGAMOTO KWENYE UJASIRIAMALI NA SULUHISHO

Ndugu rafiki, miezi kumi nilipo anza hii biashara nilikumbana na vitu vizito sana katika kuyafikia mafanikio na malengo niliyo lenga ningeyafikia haraka ndani ya biashara ya mtandao!
Nilijaribu...
Monday, February 8, 2016
MAMBO SITA YANAYOWEZA PELEKEA UMASKINI
Watu wengi wanakufa masikini na wanashindwa kufikia mafanikio yao bila wao kujua tatizo ni nini,imekuwa kama ugonjwa watu wengi kuendelea kulalamikia serikali au wazazi wao...
Wednesday, February 3, 2016
WEZESHA & VIYOSO IKIWAWEZESHA VIJANA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU - MKOANI MOROGORO
Vijana waishio katika mazingira magumu wakijifunza kutengeneza batiki
kwa kutumia mishumaa kwenye semina ya ujasiriamali tarehe 28-29/11/2013 -
Sabasaba Mkoani Morogoro - waandaaji...
Tuesday, February 2, 2016
MKURUGENZI WA WEZESHA TRUST FUND AKIWAFUNDISHA VIJANA WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU JINSI YA KUTAMBUA FURSA(KIJANA JITAMBUE KUNA FURSA MBELE YAKO)
Wezesha Trust Fund & Victory Youth Support Organization kwa pamoja
wamefanya kongamano la vijana waishio katika mazingira magumu Mkoani Morogoro
lenye dhima "KIJANA JITAMBUE...
JITAMBUE ILI UFANYE ULIYOKUSUDIA KUYAFANYA

Neno jitambue
ni kubwa na lenye kubeba maana nyingi kwa mtu yeyote anayekutana nalo, jitambue
ni hali ya mtu kujifahamu yeye ni nani na anatakiwa afanye nini katika kila
eneo...
CHARITY BEGINS AT HOME
Mkurugenzi wa Wezesha Trust Fund Bi Lusako Mwakiluma
akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake Ezma Mgaya(Afisa Maendeleo ya Jamii) na
William Matajiri(Afisa Ugavi) wakitoa msaada katika...
WANAWAKE TUJITOE KUWASAIDIA WENGINE
Leo
tarehe 8/3/2014 ni siku ya wanawake Duniani, wanawake wenzangu napenda kuwatakia
siku njema na kuwatia nguvu kwa kuwapa hongera kila mwanamke kwa kuhadhimisha
siku ya wanawake...
JINSI YA KUMJALI MTEJA KATIKA BIASHARA YOYOTE

MTEJA ndiye mtu muhimu sana katika biashara yako. Hakuhitaji wewe ili
kuishi, bali biashara yako inamuhitaji ili iendelee kudumu na wewe uweze
kuishi. Kumbuka mteja wako asiporidhika,...
ZIELEWE CHANGAMOTO ZA MAISHA

Kwa sababu
tumeumbwa tofauti, wako walioumbwa kushughulika na mambo ya wenzao tu muda wote
wanaangalia fulani kafanya nini na kafanikiwa au kashindwa kwa kiasi gani. ...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)