WEZESHA TRUST FUND WALIPOTEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA BIGWA - MGOLOLE
TAREHE 26/12/2016.
WALITOA MISAADA MBALIMBALI KUSHEREHEKEA SIKU YA KUFUNGUA ZAWADI
PAMOJA...
Tuesday, December 27, 2016
Sunday, December 25, 2016
USIMKOPESHE RAFIKI AU NDUGU YAKO

Kwa nini
leo nimefikiria haya? Naomba nikwambie
pesa ni jawabu la mambo yote namadhambi yote yameanzia kwenye pesa. Unaweza kuwa na rafiki au ndugu mliyeshibana
sana...
JE, KUWA TAJIRI KUTAKULETEA FURAHA

Kwa nini
unataka kuwa na pesa nyingi, je pesa nyingi zitakupatia amani au furaha?
Kuwa na pesa
nyingi itakupatia amani. Kama utakuwa
na pesa nyingi utalipa...
Sunday, December 11, 2016
FORTUNE TEAM WAKIFANYA USAFI SABASABA HOSPITAL - MOROGORO
Wezesha Trust Fund wakiwafundisha kazi za kujitolea Fortune Team kutoka shule ya sekondari Uwanja wa Taifa siku ya 1 Desemba, 2016 kuazimisha siku ya Ukimwi Duniani, Timu ya Fortune...
NJIA TANO ZA KUONGEZA UJASIRI WAKO

1. Chagua watu wenye ujasiri na wenye hari
ya chanya ndani yake
Kaa na watu wenye ujasiri, ukikaa na
watu wenye ujasiri nawe utakuwa jasiri kwani utajifunza kupitia wao...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)