Mkurugenzi wa Wezesha Trust Fund Bi Lusako Mwakiluma
akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake Ezma Mgaya(Afisa Maendeleo ya Jamii) na
William Matajiri(Afisa Ugavi) wakitoa msaada katika kituo cha kulelea watoto
yatima cha DAH-LUL Mkoani Morogoro kwa ajili ya kusherehekea pasaka, 2013
Wezesha Trust Fund ikikabidhi baadhi ya vyakula kwa
Kituo cha watoto walemavu na wenye utindio wa ubongo Amani Centre – Morogoro
–Kulia ni Mkurugenzi Bi Lusako Mwakiluma,
Mweka Hazina Bi Evetha Richard na Afisa Maendeleo jamii Bi Ezma Mgaya na
kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha Amani
Post a Comment