Mwalimu Mama Mayala kutoka Dar es Salaam akifundisha jinsi ya
kutengeneza batiki huku vijana wakiwa makini kumsikiliza, vijana hao
(30) walifundishwa jinsi ya kufuga kuku wa nyama na mayai, kutengeneza
chakula cha kuku, mishumaa ya aina zote na jinsi ya kuandaa vitalu na
kilimo cha matunda na mbogamboga
Wednesday, February 3, 2016
WEZESHA & VIYOSO IKIWAWEZESHA VIJANA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU - MKOANI MOROGORO
Vijana waishio katika mazingira magumu wakijifunza kutengeneza batiki
kwa kutumia mishumaa kwenye semina ya ujasiriamali tarehe 28-29/11/2013 -
Sabasaba Mkoani Morogoro - waandaaji wa kuwawezesha walikuwa Wezesha
Trust Fund & Victory Youth Support Organization.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment