WEZESHA TRUST FUND WALIPOTEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA BIGWA - MGOLOLE
TAREHE 26/12/2016.
WALITOA MISAADA MBALIMBALI KUSHEREHEKEA SIKU YA KUFUNGUA ZAWADI
PAMOJA...
Tuesday, December 27, 2016
Sunday, December 25, 2016
USIMKOPESHE RAFIKI AU NDUGU YAKO

Kwa nini
leo nimefikiria haya? Naomba nikwambie
pesa ni jawabu la mambo yote namadhambi yote yameanzia kwenye pesa. Unaweza kuwa na rafiki au ndugu mliyeshibana
sana...
JE, KUWA TAJIRI KUTAKULETEA FURAHA

Kwa nini
unataka kuwa na pesa nyingi, je pesa nyingi zitakupatia amani au furaha?
Kuwa na pesa
nyingi itakupatia amani. Kama utakuwa
na pesa nyingi utalipa...
Sunday, December 11, 2016
FORTUNE TEAM WAKIFANYA USAFI SABASABA HOSPITAL - MOROGORO
Wezesha Trust Fund wakiwafundisha kazi za kujitolea Fortune Team kutoka shule ya sekondari Uwanja wa Taifa siku ya 1 Desemba, 2016 kuazimisha siku ya Ukimwi Duniani, Timu ya Fortune...
NJIA TANO ZA KUONGEZA UJASIRI WAKO

1. Chagua watu wenye ujasiri na wenye hari
ya chanya ndani yake
Kaa na watu wenye ujasiri, ukikaa na
watu wenye ujasiri nawe utakuwa jasiri kwani utajifunza kupitia wao...
Tuesday, October 4, 2016
KILA NYUMA YA MWANAMKE JASIRI YUKO YEYE MWENYEWE

Kama watu wana wasiwasi kwa ukubwa wa
mafanikio uliyonayo, wewe endelea
kufanikiwa zaidi hautawasikia tena
wakisema kuhusu wewe.
Maisha ya mwanamke shujaa/Jasiri...
Friday, September 9, 2016
MECHI KATI YA POLISI MORO NA MAWENZI MARKET SIKU YA WEZESHA DAY AGOSTI-2016
Bonanza lililofanyika siku ya “WEZESHA DAY” ni Mechi kati ya Mawenzi Market na Polisi Moro lilidhaminiwa na Wezesha Trust Fund ili kuchangia kufanya utafiti na kukuza vipaji kwa...
WEZESHA TRUST FUND KUTIMIZA MIAKA MINNE KWA USAFI NA BONANZA - MOROGORO
Wezesha Trust Fund imetimiza miaka minne tangu kuanzishwa Agosti,
2016 kwa kuwa karibu na Jamii
inayoizunguka kama vile Hospitali ya Sabasaba iliyoko katika kata ya Mafiga...
Sunday, March 20, 2016
FIKIRIA KAMA MBUNIFU ILI UWE MTU MWENYE UMAKINI WAKATI WOTE

Wakati unafikiria mawazo yako ya
ndani ni kwamba uko tayari kuzalisha kitu kizuri ulichobuni kama mbunifu; Wakati wote unatakiwa kuwa hivyo ili uweze
kuleta kitu cha tofauti...
Friday, March 11, 2016
MAISHA NI SAFARI YENYE MILIMA NA MABONDE

Wapendwa naamini kwa uwezo wa Mungu mmeshinda salama, leo napenda kutoa mada fupi na ya kutiana moyo wenyewe kwa wenyewe, kwa mtazamo wa macho ya nyama maisha ni magumu sana, lakini...
Saturday, March 5, 2016
WANAWAKE NA FURSA-UJUMBE KWA WANAWAKE WA TANZANIA 8 MACHI, 2016

Tanzania ni mwanachama
mwaminifu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki – Kutokana na milango kuwa wazi sasa Mheshimiwa Rais wetu Magufuli ametuhakikishia tunaweza kuvuka mipaka na kujitanua...
Monday, February 29, 2016
MAISHA NI RAHISI SANA UKITULIA NA KUTAFAKARI

Napenda kutoa mada fupi na ya kutiana moyo wenyewe kwa wenyewe,
kwa mtazamo wa macho ya nyama maisha ni magumu sana, lakini katika mtazamo wa
kiroho maisha ni ya kawaida na hayataki...
Tuesday, February 9, 2016
CHANGAMOTO KWENYE UJASIRIAMALI NA SULUHISHO

Ndugu rafiki, miezi kumi nilipo anza hii biashara nilikumbana na vitu vizito sana katika kuyafikia mafanikio na malengo niliyo lenga ningeyafikia haraka ndani ya biashara ya mtandao!
Nilijaribu...
Monday, February 8, 2016
MAMBO SITA YANAYOWEZA PELEKEA UMASKINI
Watu wengi wanakufa masikini na wanashindwa kufikia mafanikio yao bila wao kujua tatizo ni nini,imekuwa kama ugonjwa watu wengi kuendelea kulalamikia serikali au wazazi wao...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)